Dr. Rayya Timammy, Dr. Amiri Swaleh

Wanawake Wachukua Hatua Nyingine: Analyzing Women’s Identities in Kiswahili Short Stories

Dokumente und Dateien

Hinweis

Bitte nutzen Sie beim Zitieren immer folgende Url:

http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-137498

Kurzfassung in Swahili

Wataalamu mbalimbali wamefafanua dhana ya hadithi fupikwa namna mbalimbali. Kipera hiki cha fasihi andishi ni zao la athari za kimagharibi. Hadithi za fasihi simulizi zimerutubisha hadithi fupi zinazoendeleza majukumu ya tangu jadi ya kuelimisha, kuongoza, kuonya na kuburudisha. Hadithi fupi ya kisasa ina sifa za matumizi ya lugha ya nathari, masimulizi mafupi aghalabu ya tukio moja, mhusika mkuu mmoja au wahusika wachache, msuko sahili na hatimaye mshikamano na umoja wa mawazo na mtindo. Katika makala haya, tunachambua hadithi teule za Kiswahili kuhusu nafasi na ujitambuzi wa wanawake. Kachukua Hatua Nyingine ya Kyallo Wadi Wamitila inajadili hatua ambazo mwanamke anafaa azichukue ili ajikwamue na utumwa wa ndoa zinazompa mwanamume uwezo wote. Nayo Ngome ya Nafsi ya Clara Momanyi inaonyesha hatua anazochukua mtoto msichana kujikomboa dhidi ya mila na desturi zinazomnyima utambulisho wa kibinafsi na kijinsia. Wasia wa Baba ya Ahmad Kipacha inaonyesha jinsi utamaduni na mafundisho chanya ya dini kuwa njia mwafaka za kujengea utambulisho wa mwanamke. Hatimaye Usia wa Mama ya Fatima Salamah inaonyesha mtoto msichana akijihami kupitia utamaduni na mafundisho chanya ya dini dhidi ya ushawishi hasi wa mamake.

weitere Metadaten

Erschienen in Swahili-Forum - 20.2013
Schlagwörter
(Deutsch)
Kiswahili, Swahili, Kurzgeschichten, Frauen, Gender Identität, Kachukua Hatua Nyingine, Kyallo Wadi Wamitila, Ngome ya Nafsi, Clara Momanyi, Wasia wa Baba, Ahmad Kipacha Usia wa Mama, Fatima Salamah
Schlagwörter
(Englisch)
Kiswahili, Swahili, Short stories, Women identities, Kachukua Hatua Nyingine, Kyallo Wadi Wamitila, Ngome ya Nafsi, Clara Momanyi, Wasia wa Baba, Ahmad Kipacha Usia wa Mama, Fatima Salamah
SWD SchlagworteKiswahili, Swahili, Kurzgeschichten, Frauen, Gender Identität, Kachukua Hatua Nyingine, Kyallo Wadi Wamitila, Ngome ya Nafsi, Clara Momanyi, Wasia wa Baba, Ahmad Kipacha Usia wa Mama, Fatima Salamah
DDC Klassifikation496
Beteiligte Institution(en) 
HochschuleUniversity of Nairobi
Institution(en) 
HochschuleUniversität Leipzig
FakultätInstitut für Afrikanistik
DokumententypArtikel
SpracheEnglisch
Veröffentlichungsdatum (online)27.03.2014
persistente URNurn:nbn:de:bsz:15-qucosa-137498
QuelleSwahili Forum 20 (2013), S. 102-114

Hinweis zum Urheberrecht

Diese Website ist eine Installation von Qucosa - Quality Content of Saxony!
Sächsische Landesbibliothek Staats- und Universitätsbibliothek Dresden