Alwi M. Shatry

Tamaduni na fasihi za kienyeji kwa lugha za kigeni

Dokumente und Dateien

Hinweis

Bitte nutzen Sie beim Zitieren immer folgende Url:

http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98624

Kurzfassung in Swahili

Uhusiano baina ya lugha na utamaduni, mila na mirathi ya jamii kwa jumla huenda ukafahamika angalau kwa wepesi, iwapo tutazingatia mambo mawili: kwanza, lugha na matumizi yake ni chombo cha kujieleleza thamani tafauti zilizofungamana na maumbile ya kimila, fikira, maarifa, imani, adabu na utamaduni wa jamii yenyewe kwa jumla. Pili, matumizi ya lugha aghlabu husadifu kuwa ndio msingi wa kuendeleza na kukuza, na hata pia kubuni, uzushi mpya katika mirathi ya utamaduni, mila na khulka za kijamii. Kwa hivyo si rahisi kwa lugha kutengamana na taswira za jamii: utu, utamaduni, mila, mitindo na mengineo. Tungependa kuandaa madhumuni yetu ya kuonesha athari na hatari zinazokabili hali ile ya kutumia lugha geni katika kuendeleza shughuli za jamii au taifa la kienyeji. Muhimu pia, tutashughulika na athari za mtindo huo katika fasihi za kienyeji, hasa tunapozingatia kuwa fasihi ya maandishi ni mfano wa kioo cha hakika ya jamii.

weitere Metadaten

Erschienen in Swahili-Forum - 3.1996
Schlagwörter
(Deutsch)
Swahili, Kultur, Literatur, Bräuche, Sprache, Gesellschaft, Sprachdominanz
Schlagwörter
(Englisch)
Swahili, culture, literature, language, society, language dominance, customs
SWD SchlagworteSwahili, Außereuropäische Literatur, Kultur, Brauchtum, Gesellschaft, Sprache
DDC Klassifikation496
Institution(en) 
HochschuleUniversität zu Köln
FakultätInstitut für Afrikanistik
DokumententypArtikel
SpracheSwahili
Veröffentlichungsdatum (online)03.12.2012
persistente URNurn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98624
QuelleSwahili Forum; 3(1996), S. 97-107

Hinweis zum Urheberrecht

Diese Website ist eine Installation von Qucosa - Quality Content of Saxony!
Sächsische Landesbibliothek Staats- und Universitätsbibliothek Dresden